Project unazoweza kufanya mwenyeweImage courtesy of goodhousekeeping

Ujanja mjini ni kupata kitu kizuri kwa bei poa na kama wewe ni creative basi tumia ujuzi wako. Nimeona article katika gazeti la goodhousekeeping wana Do-It-Yourself (DIY)Projects (mf. kutumia glass kama flower vase, kutengeneza pazia la ribbon kama hapo juu etc) nikaona ni poa niki-share. Maelezo yake haya hapa

No comments:

Post a Comment

1