Kama unapenda kushona

Photo and directions courtesy of diynetwork.com


Photo courtesy of craftster.org


Elimu haina mwisho! Nimeona maelezo ya kushona mkoba kama huu kutoka craftster.org.Ukipenda kujifunza kushona mkoba kama huu kwa ajili ya mwanao,rafiki au kwa zawadi maelezo haya hapa na hapa kutoka diynetwork.com

No comments:

Post a Comment

1