Hizi ni zama za ukweli na uwazi,je AU itafuata usemi huu kuhusu Zimbabwe??


Zimbabwe's opposition leader Morgan Tsvangirai speaks to the media in Harare, June 27

Photos courtesy of news.yahoo.com

Nimeona hizi habari mbili kuhusu uchaguzi Zimbabwe nikaona nizipost maana napenda kufuatilia masuala ya siasa. Macho ya dunia sasa yanaangalia huo mkutano wa African Union unaoanza kesho kama utasema lolote kuhusu uchaguzi huo.Haya tunaisubiri hiyo kesho kwa hamu kuona kama kweli na wao wanaungana nasi katika imani aliyoisisitiza na Rais wetu Mstaafu Mzee Mkapa kuwa hizi ni zama za ukweli na uwazi. BBC ina habari isemayo "Mugabe aapishwa licha ya utata "utaipata hapa na nyingine kutoka news. yahoo.com hapa

No comments:

Post a Comment

1