Gauni la Michelle ObamaMichelle Obama on 'The View'
All Photos courtesy of NYDaily news
Mwanamke wa Kwanza Mtarajiwa (sijui hicho ndicho kiswahili sahihi cha First Lady to be!?) alivaa na gauni (na likampendeza sana) katika mahojiano katika talk show "the view" sasa gauni limepanda chati. Soma habari kamili kutoka NYdaily news hapa .

No comments:

Post a Comment

1