Blog ya Interior design,Mapambo,Mitindo na Vitu Vizuri.
Abiria tunza mzigo wako!
Wezi wakizidi- wakomeshe!Nimeona hii picha katika boingboing.net nikaipenda nikaona niipost. Huyu jamaa nafikiri wezi wamemchosha akaamua awakomeshe! Najiuliza sijui jamaa atakumbuka kweli jinsi ya kufungua!
Blogu safi sana. Imepangwa vizuri na haina majinaneno meeeeengi bila msingi. Poa dada poa....
ReplyDeleteAsante sana freddy,karibu tena na tena.
ReplyDelete