Vitu vya zamani vina thamani

GothamGallery Fine African Art - Tanzania Janus Stool can be found on ebay .com


Picha namba 2,3&4 shukrani: muuzaji : russiansilverantiques at ebay.com
Tembea uone!vitu vya zamani vinathamani kubwa tu,ukiona birika la zamani usiwahi jalalani maana ukitupa umetupa noti.Mfano hiyo seti ya birika ni laki nane na,Kazi kweli kweli!Kijiko laki mbili na ushehe,na hicho kikombe cha kubebea gilasi fumba macho kwanza...ni milioni. Kinyago (meza ndogo) milion 12 nayo ipo ebay muuzaji gothamgallery.

No comments:

Post a Comment

1