je unaujua wito wako ?

Image courtesy of darlingtonschool.org
Follow your dreams: Hazelle Goodman's Baccalaureate speech to the Class of 2005
Ukiona mtoto au ndugu,jamaa au rafiki yako "anajua kuongea" mwambie anakipaji ambacho anaweza kukiendeleza kikamlipa. Watu ambao wamebarikiwa kujua kuongea, natumaini unanielewa naposema wanajua kuongea. Utasikia watu wakisema ......yule nae huwa anaongea sana! kana kwamba ni kitu kibaya. Kipaji hicho unaweza kukiendeleza na kuwa watu waitwao Professional Speakers. Juzi nilibahati kumuona Mama mmoja ni Actress na mchekeshaji anaitwa Hazelle Goodman yeye pia ni Professional speaker. Alikuwa akitoa speech kwa wanafunzi ...utapenda kumsikiliza. Sijaweza kupata speech yake aliyokuwa akiitoa ila nimeona nyingi inayofanana sana na hiyo nikaona niipost. Isome itakujenga,inaanza kama ifuatavyo;


"What is my dream? I don't know what I want to do, what I want to be." It's simple to find your dream. It's the thing you would love doing even if there was no money! It's the gift that God placed in you and no one can do it quite like you. It's the call that you hear deep down in your soul that no one else can hear. It's the thing you came on the planet to do. The gift you brought to give. The difference you are here to make. And if you don't do it, you will never be truly happy or fulfilled. You may be rich, but you won't be fulfilled. A lot of times we block our dreams because.....zaidi bonyeza hapa

No comments:

Post a Comment

1