Moja ya mikasa ya tetemeko la ardhi ChinaAll 3 Photos courtesy of Newyork daily news
Jamani imagine kati ya siku zote tetemeko la ardhi linatokea wakati wa harusi yako,inatia huruma! hawa maharusi walipatwa na mkasa huo huko China kama inavyoelezwa na gazeti la Newyork daily news. Kwa habari zaidi bonyeza hapa

No comments:

Post a Comment

1