Swali kuhusu rafiki/marafiki!

Oprah Winfrey na Gayle King; photo credit abcnews.com

Actress Sarah Jessica Parker, Kristin Davis
Cynthia Nixon and Kim Catrall -Sex and the City ladies
Image via iwatchstuff.com
Nilisikia podicast moja (sijui podicast kiswahili chake fasaha ni nini...kiswahili kigumu!).Jasho litatutoka na teknolojia hizi! Tuendelee msemaji alisema moja ya njia kadhaa za kumpa furaha mtu ni kujua kuwa unarafiki ambao watakusaidia kwa shida na raha wakati wowote ule. Rafiki hao ni wale wa kweli,wenye ushauri wa kweli na wanaokuinua . Akamalizia akisema jiulize je unao rafiki hao?na mie napost hiyo changa moto fikiria je unao rafiki wa namna hiyo?

No comments:

Post a Comment

1