Rais Bush ana sense of humor!mfano wa kuigwa!

Image courtesy of NewYork Post

Nawapenda sana watu wasiojivuna na especially wakiwa na madaraka,Rais Bush mmoja wao. Hapa alikuwa nagonga kifua na US Air Force Academy graduate katika sherehe yao.Ipate habari kamili kama ilivyoolezwa na gazeti la NewYork Post kwa kubonyeza hapa

No comments:

Post a Comment

1