Blog ya Interior design,Mapambo,Mitindo na Vitu Vizuri.
Ni kiasi gani cha maji unatakiwa unywe?
Watu husema unywe glass nane za maji kila siku,haya kabla hujajaza tumbo maji soma report hii kutoka cnn.com inayokanusha usemi huo. Najiuliza hivi nani huyo alifanya watu tuamini hivyo na kwanini glasi nane.Jipatie ufafanuzi kwa kubonyeza hapa
No comments:
Post a Comment