upambaji wa waspanish

Image courtesy of Marthastewart.com
Nimepata gazeti la Martha Stewart living nikaamua niangalie website yake. Nikaiona nyumba iliyopambwa kwa staili ya waspanish /spanish style house nikaona sio mbaya nikiipost maana inavutia hasa bustani.

No comments:

Post a Comment

1