The lecture of a lifetime

Mfano wa kuigwa jinsi gani tunatakia tuwe positive. Hebu sikiliza lecture hii very inspiring iliyosisimua dunia iliyotolewa na Dr. Randy Pausch (ambaye ana kansa ya mapafu na Daktari wake walimwambia hana muda mrefu wa kuishi).Lecture hiyo utayoona video kwa kubonyeza hapaaliitoa katika Oprah show.

Pia pata mawazo ya watu mbalimbali waliyotoa katika website ya gazeti la The NewYork Times kuhusu nini uwafundishe wanao kuhusu maisha kwa kubonyeza hapa

No comments:

Post a Comment

1