kwa wapenzi wa viatu

Image courtesy of Olivierbuhagiar.com and www.nydailynews.com
Viatu vizuri lakini kwangu mimi urefu na bei mmh! Haya mpendao fashion na quality za nguvu viatu hivyo.Vinaitwa Christian Louboutin shoes, utavijua kwa kuwa vina rangi nyekundu kwenye kanyagio. bei yake nitawatafutia ila itakuwa moto maana kiatu cha designer hicho na ndicho akipendacho Oprah. Ukitokea kuona show yake angalia kiatu rangi nyekundu kwenye kanyagio la kiatu chake.

2 comments:

  1. ka hivyo viatu,ila swali ni kwamba nitaweza kuvivaa?/kwa kweli kuna dizaini duniani na tunashukuru kwamaba unaweza kutupa nafasi ya kuziona manake mimi binafsi nisingeweza kuvitafuta,
    keep up the good job my dear

    ReplyDelete
  2. Wala usikonde dear ,Oprah mwenyewe alikuwa amevaa viatu vya urefu huo akasema hivyo kwake yeye si vya kutembelea anavaa akiwa amekaa studio,ukivaa hivyo kila siku huchelewi kupata viazi haha

    ReplyDelete

1