Kentucky Derby


Kentucky derby; Image courtesy of journalperu.com








Kentucky Derby hats at www.ladydianehat.com



Juzi kulikuwa na mshindano ya farasi yajulikana kama Kentucky Derby. Vivutio katika mashindano hayo sio mbio za farasi pekeo bali ni pamoja na kofia kuuubwa zinazovaliwa na akina mama mfano hapo juu. Nilipenda nikaona nishee. Baadaye!


No comments:

Post a Comment

1