Interior design

Picha na shelterstyle.com

Japo watu wengi wanasema kabati kubwa kama hii zimepitwa na wakati ila kwa upande wangu mimi naona hizi ni kabati ambazo hazitakaa zipitwe na wakati. Sababu ni kwamba ni ziko practical,ni salama hasa kwa watoto na pia you can stash vitu vingi kuanzia mapambo ,vitabu kusave space.Swali langu linakuja kwamba je kipi bora kufuata mitindo au ufanisi wa kitu ?Angalia ilivyopendezesha chumba kilichofanyiwa makeover na kabla ya makeover hapa

No comments:

Post a Comment

1