Binti wa Kwanza Jenna Bush amemeremeta,Tunamtakia heri na baraka!

Photo Credits: Craighead/White House
Photo Credits: Craighead/White House

Credits: Craighead/White House


Photo credit :Craighead/White House

Harusi imefana sana,at last nimeziona picha za harusi ya binti wa kwanza (first daughter) Jenna Bush aliyefunga ndoa juzi. Kapendeeza kweli kweli.Angalia mwenyewe nisikumalizie uhondo habari kamili na Picha kutoka gazeti la Newyork daily news

No comments:

Post a Comment

1