
Rais Paul Kagame wa Rwanda amepata tuzo kwa juhudi zake za kuwaendeleza wanawake nchini Kwake. Taarifa iliyotolewa na positivenews.org inaeleza kwamba Rwanda ni nchi pekee dunia iliyo na asilimia 48 ya wabunge wa kuchaguliwa. Taarifa kamili bofya hapa
No comments:
Post a Comment