Africa women Exporters

Iringa baskets
Picha na scandinaviagroup.com
Kuna organisation nimeiona kutoka happynews.com inaitwa World Women Trade Fair (http://www.worldwomentradefair.com/) .Inahusika na kusaidia wanawake wa wafanyabiashara kuuza bidhaa zao nje. Tanzania iliwakilishwa na Mama kutoka Federation of Women Entrepreneur Tanzania . Swali langu nauliza kama kuna mtu anaijua hii federation tunaomba atuambie ipo wapi na jinsi ya kujiunga maana kuna akina mama wanataka wajiunge.Habari zaidi soma hapa.Maonyesho mengine ya biashara angalia website (http://www.worldwomentradefair.com/)

No comments:

Post a Comment

1