Blog ya Interior design,Mapambo,Mitindo na Vitu Vizuri.
uwezo wetu
Leo nimeona talk show ilikuwa inahusu jinsi ambavyo sisi huwa tunafocus sana kwenye mapungufu tuliyo nayo zaidi ya strength tulizonazo. Kwa upande wangu nimeona ni kweli kabisa sijui wenzangu mna maoni gani katika hilo.
unayosema ni kweli,huwa tunaangalia mapungufu tu. Hata katika mwili wetu,utakuta mtu unaangalia sehemu usiyoipenda kwa mfano miguu, unasahau kuangalia ni jinsi gani una kichwa kizuri kilichoweka sura nzuri na chenye nywele nzuri sana!!Inabidi tuangalie mazuri zaidi kusudi tusahau mabaya!au "tudilute" mapungufu yetu!

ReplyDeleteAsante kwa kujibu Farida,ni kweli kabisa nimependa usemi uliotumia "tudilute" mapungufu yetu!
ReplyDelete