Mishumaa kutoka Afrika
Mishumaa hii mizuri inapambwa kwa mikono kutoka Swaziland.Angalia website yake swazicandles.com. Ina soko kubwa
nchi mbalimbali . Maelezo yake inavyotengezwa katika hiyo website hayaelezi steps kama una mtu anajua inavyotengenezwa tafadhali usisite ku-share na wenzio

No comments:

Post a Comment

1