Mavazi na muonekano

Image courtesy of www.mentalacrobatics.com

Image courtesy of Okmagazine


Vazi la asili huko Swaziland, Image courtesy of pbase.com/tessajoughin/swazi_reed_dance...

Mavazi na tamaduni!Sijui hata niulizeje swali langu!labda niseme hivi, hivi mavazi ya asili na mavazi ya karne hii tuyadumishe au tuyabadilishe au tutakuwa tunaua tamaduni ?Labda ngoja niwaachie wenzangu kwanza kama kuna la kusema juu ya mavazi na muonekano

No comments:

Post a Comment

1