Ushujaa (Courage)Image courtesy of friendsofstjohn.podomatic.com


Mtindo wa kukusanya quotations mbali mbali huwa naupenda maana unapata busara za watu kwa ufupi. Nimepata quotations kuhusu courage nikaona nipost kwa manufaa ya atakayesoma.Hizo article zinazungumzia umuhimu wa courage katika maisha.Paragraph moja inasema Ushujaa (courage) ni uwezo wako kufanya kitu pamoja na kuwa unawoga nacho.

Watu wenye courage si kwamba huwa hawana woga ila hawaupi nafasi woga.Na watu wanaupa nafasi woga huendelea kukuza mbegu za woga huo mpaka uokaota mizizi na kuwafanya wawe comfortable kwamba hawawezi kufanya jambo fulani.Harafu huanza kueleza sababu ili wasijikie vibaya kwa kutofanya kitu wanachokiogopa,mfano siwezi kujiendeleza kielimu kwa sababu umri umeenda,siwezi ku-take risk kwasababu kuna watu wananitegemea,siwezi kuomba kazi ile kwasababu simjui mtu n.k


Kuondoa woga;

moja,kama wengine wanaweza kwanini usiweze

pili,kufanya kitu kinachokutia woga ni rahisi kuliko ukubwa wa woga ulionao.

tatu, muhimu ni kufanya hicho kitu na sio wewe unayekifanya,mfano ukiuliza swali katika umati wa watu watu wanafocus kwenye swali sio wewe muulizaji.

nne, jihusishe na watu wanao kupa moyo.inspiration story

Eleanor Roosevelt Mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Rais Franklin D. Roosevelt alikuwa mtu mwenye aibu asiyependa kuongea kwenye umati,akiwa first lady ilimbidi aanze kuongea kwenye public kila mara na matokea yake akawa mmoja wa waongeaji wazuri sana.


quotation yake ;You can gain strength, courage and confidence by every experience in which you really stop to look fear in the face. You are able to say to yourself, ‘I lived through this horror. I can take the next thing that comes along’… You must do the thing you cannot do.” – Eleanor Roosevelt


Quotation nyingine nzuri;Courage is not the absence of fear, but rather the judgment that something else is more important than fear.- Ambrose Redmoon

Courage is resistance to fear, mastery of fear - not absence of fear.- Mark Twain

Courage is being scared to death, but saddling up anyway.- John Wayne

Reference stevepavlina.com/articles/courage-to-live-consciously.htm
www.toastmasters.org/.../HabitofCourage.aspx

No comments:

Post a Comment

1