Weekend njema..

Swali la kujiuliza....siri ya mafanikio!


 via
 via
 

 via
via

 Nini faida ya kujisomea? kama ni hivyo je ni kwanini hujisomei?ni kwanini huwasomei watoto au hata kuwahimiza kujisomea? Je unajua siri nyingi za mafanikio zipo katika vitabu? Sababu nyingi watu husema za kutojisomea  ni kuwa hakuna muda wa kutosha,ukweli ni kwamba muda upo ila hujakupa kujisomea umuhimu wa juu kama vitu vingine. Karne hii tunabahati kuwa na teknolojia inayotuwezesha kusoma kila mahali tulipo iwapo tutapenda.Unangoja nini, muda ndio huu.

Harusi......ideas na video


via
via
via
via
via
via
via
via


via
via

viavia


via
Kupanga harusi kuna mambo mengi,pata ideas moja au mbili toka hapa kama makeup (mfano toka kwenye picha),maandalizi ya bi harusi (picha no.3 toka chini) na ideas za magauni n.k.
Enjoy hii video nzuri ya harusi jinsi bwana harusi  alivyompokea bi harusi  wake.

  via

Vitu vizuri....above imgvia
via
via 
via
via

via
via
via
Vitu vizuri,natumaini utajifunza kitu kipya.Enjoy!